Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Law 26:6

Law 26:6 SUV

Nami nitawapa amani katika nchi, tena mtalala wala hapana atakayewatia hofu; nami nitawakomesha wanyama wabaya katika nchi yenu, wala hautapita upanga katika nchi yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Law 26:6