Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 3:4-6

Lk 3:4-6 SUV

kama ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya; Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake. Kila bonde litajazwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patalainishwa; Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu.

Soma Lk 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 3:4-6