Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 7:47-48

Lk 7:47-48 SUV

Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo. Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako.

Soma Lk 7