Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 7:47-48

Luka 7:47-48 BHN

Kwa hiyo nakuambia amesamehewa dhambi zake nyingi kwa kuwa ameonesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehewa kidogo, hupenda kidogo.” Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako.”