Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mal 3:11-12

Mal 3:11-12 SUV

Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.

Soma Mal 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mal 3:11-12