Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 15:25-27

Mt 15:25-27 SUV

Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 15:25-27