Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 5:3-6

Mt 5:3-6 SUV

Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.