Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:13-14

Mk 10:13-14 SUV

Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Ila Yesu alipoona alichukizwa sana, akawaambia, Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie; kwa maana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 10:13-14