Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 31:25-26

Mit 31:25-26 SUV

Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.

Soma Mit 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 31:25-26