Zab 134
134
Sifa ya Usiku
Wimbo wa kupanda mlima.
1 #
Law 8:35; 1 Nya 9:33; Zab 130:6; Lk 2:37 Tazama, enyi watumishi wa BWANA,
Mhimidini BWANA, nyote pia.
Ninyi mnaosimama usiku
Katika nyumba ya BWANA.
2 #
Zab 28:2; 1 Tim 2:8 Painulieni patakatifu mikono yenu,
Na kumhimidi BWANA.
3 #
Zab 124:8; 128:5 BWANA akubariki toka Sayuni,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
Iliyochaguliwa sasa
Zab 134: SUV
Kuonyesha
Shirikisha
Nakili
Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia
Swahili Union Version (SUV): © Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya, 1952, 1997. All rights reserved. lt/pgt ltpgtSwahili Union Version (SUV): Hakimiliki -1952, 1997: kwa: Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.