Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 40:1-2

Zab 40:1-2 SUV

Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.

Soma Zab 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 40:1-2