Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 10:9-10

Ufu 10:9-10 SUV

Nikamwendea malaika yule nikamwambia kwamba anipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, Kitwae, ukile, nacho kitakutia uchungu tumboni mwako, bali katika kinywa chako kitakuwa kitamu kama asali. Nikakitwaa kile kitabu kidogo katika mkono wa malaika yule, nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali kinywani mwangu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 10:9-10