Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 12:1-2

Ufu 12:1-2 SUV

Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili. Naye alikuwa ana mimba, akilia, hali ana utungu na kuumwa katika kuzaa.

Soma Ufu 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 12:1-2