Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 13:16-17

Ufu 13:16-17 SUV

Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

Soma Ufu 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 13:16-17