Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:15

Ufu 19:15 SUV

Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili awapige mataifa kwa huo. Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.

Soma Ufu 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:15