Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 7:3-4

Ufu 7:3-4 SUV

akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao. Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.

Soma Ufu 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 7:3-4