Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 9:20-21

Ufu 9:20-21 SUV

Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda. Wala hawakuutubia uuaji wao, wala uchawi wao, wala uasherati wao, wala wivi wao.

Soma Ufu 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 9:20-21