Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 16:25-27

Rum 16:25-27 SUV

Sasa na atukuzwe yeye awezaye kuwafanya imara, sawasawa na injili yangu na kwa kuhubiriwa kwake Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyositirika tangu zamani za milele, ikadhihirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii, ikajulikana na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, ili waitii Imani. Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.

Soma Rum 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 16:25-27