Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 15:21-22

1 Wakorintho 15:21-22 SRUV

Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 15:21-22