Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 14:8

1 Wafalme 14:8 SRUV

nikaurarulia mbali ufalme utoke nyumba yake Daudi, na kukupa wewe; lakini wewe hukuwa kama mtumishi wangu Daudi, aliyezishika amri zangu, na kunifuata kwa moyo wake wote, asifanye lolote ila yaliyo mema machoni pangu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 14:8