1 Wafalme 14:8
1 Wafalme 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)
nikaurarua ufalme utoke kwa wazawa wa Daudi, nikakupa wewe. Lakini wewe ni kinyume kabisa cha mtumishi wangu Daudi ambaye alizishika amri zangu, akafuata matakwa yangu kwa moyo wake wote na kutenda tu yaliyo sawa mbele ya macho yangu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 141 Wafalme 14:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
nikaurarulia mbali ufalme utoke nyumba yake Daudi, na kukupa wewe; walakini wewe hukuwa kama mtumishi wangu Daudi, aliyezishika amri zangu, na kunifuata kwa moyo wake wote, asifanye lo lote ila yaliyo mema machoni pangu
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 14