Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:11

1 Wafalme 19:11 SRUV

Akasema, Toka, usimame mlimani mbele za BWANA. Na tazama, BWANA akapita; upepo mwingi wa nguvu ukaipasua milima, ukaivunjavunja miamba mbele za BWANA; lakini BWANA hakuwamo katika upepo ule; na baada ya upepo, tetemeko la nchi; lakini BWANA hakuwamo katika lile tetemeko la nchi

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:11