Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 11:2-3

2 Samweli 11:2-3 SRUV

Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari la jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho. Naye Daudi akatuma mtu akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bathsheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 11:2-3