Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 11:23-24

Matendo 11:23-24 SRUV

Naye, alipofika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa moyo wote. Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.

Soma Matendo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 11:23-24