Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 12:7

Matendo 12:7 SRUV

Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.

Soma Matendo 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 12:7