Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:13-14

Wakolosai 2:13-14 SRUV

Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutotahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote; akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:13-14