Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 9:18-19

Danieli 9:18-19 SRUV

Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na mji ule ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei maombi yetu kwa sababu ya haki yetu, lakini kwa sababu ya rehema zako nyingi. Ee Bwana, usikie; Ee Bwana, usamehe; Ee Bwana, usikilize, ukatende, usikawie; kwa ajili yako wewe, Ee Mungu wangu; kwa sababu mji wako na watu wako wanaitwa kwa jina lako.

Soma Danieli 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 9:18-19