Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 40:34-35

Kutoka 40:34-35 SRUV

Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani. Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.

Soma Kutoka 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 40:34-35