Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 1:10-11

Ezekieli 1:10-11 SRUV

Kwa habari za mfano wa nyuso zao; walikuwa na uso wa mwanadamu; na hao wanne walikuwa na uso wa simba upande wa kulia; na hao wanne walikuwa na uso wa ng'ombe upande wa kushoto; na hao wanne walikuwa na uso wa tai pia. Na nyuso zao na mabawa yao yalikuwa yametengana kwa juu; mabawa mawili ya kila mmoja yaliungana, hili na hili, na mawili yalifunika miili yao.

Soma Ezekieli 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 1:10-11