Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 38:2-3

Ezekieli 38:2-3 SRUV

Mwanadamu, kaza uso wako, umwelekee Gogu, wa nchi ya Magogu, mkuu wa Roshi, Mesheki, na Tubali, ukatabiri juu yake, useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Gogu, mkuu wa Roshi, na Mesheki, na Tubali

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 38:2-3