Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 39:11-12

Mwanzo 39:11-12 SRUV

Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu; huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

Soma Mwanzo 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 39:11-12