Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 12:1

Waraka kwa Waebrania 12:1 SRUV

Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa subira katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu