Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 9:15

Waraka kwa Waebrania 9:15 SRUV

Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waraka kwa Waebrania 9:15