Waebrania 9:15
Waebrania 9:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
Shirikisha
Soma Waebrania 9Waebrania 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo yeye ni mpatanishi wa agano jipya ambamo wale walioitwa na Mungu wanaweza kupokea baraka za milele walizoahidiwa. Kifo chake huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.
Shirikisha
Soma Waebrania 9