Waraka kwa Waebrania 9:28
Waraka kwa Waebrania 9:28 SRUV
kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.