Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 4:6

Hosea 4:6 SRUV

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Soma Hosea 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 4:6