Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:3-4

Yeremia 23:3-4 SRUV

Nami nitakusanya mabaki ya kundi langu, katika nchi zile zote nilizowafukuza, nami nitawaleta tena mazizini mwao; nao watazaa na kuongezeka. Nami nitaweka juu yao wachungaji watakaowalisha; wala hawataona hofu tena, wala kufadhaika, wala hatapotea hata mmoja wao, asema BWANA.

Soma Yeremia 23