Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 25:5

Yeremia 25:5 SRUV

Akasema, Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya; uacheni uovu wa matendo yenu, mkae katika nchi ambayo BWANA aliwapa, ninyi na baba zenu, tangu zamani za kale na hata milele

Soma Yeremia 25