Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:28-29

Yohana 6:28-29 SRUV

Basi wakamwambia, Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu? Yesu akajibu, akawaambia, Hii ndiyo kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.

Soma Yohana 6