Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 6:28-29

Yohane 6:28-29 BHN

Wao wakamwuliza, “Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi za Mungu?” Yesu akawajibu, “Hii ndiyo kazi anayotaka Mungu mwifanye: Kumwamini yule aliyemtuma.”