Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 20:4-5

Ayubu 20:4-5 SRUV

Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?

Soma Ayubu 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 20:4-5