Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 22:21-22

Ayubu 22:21-22 SRUV

Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake, Na maneno yake yaweke moyoni mwako.

Soma Ayubu 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 22:21-22