Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 24:22-24

Ayubu 24:22-24 SRUV

Lakini Mungu huwadumisha wenye uwezo kwa nguvu zake; Huinuka, wasiokuwa na tumaini la kuishi. Huwapa usalama, nao wapumzika kwao; Na macho yake yako juu ya njia zao. Wao wametukuzwa; lakini kitambo kidogo hutoweka; Naam, hushushwa, na kuondolewa njiani kama wengine wote, Nao hukatwa kama vile masuke ya ngano.

Soma Ayubu 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 24:22-24