Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoeli 1:13

Yoeli 1:13 SRUV

Jikazeni mkaomboleze, enyi makuhani; Pigeni yowe, enyi wahudumu wa madhabahu; Njooni mlale usiku kucha katika magunia, Enyi wahudumu wa Mungu wangu; Kwa kuwa sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimezuiwa katika nyumba ya Mungu wenu.

Soma Yoeli 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoeli 1:13