Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:31-33

Luka 1:31-33 SRUV

Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye Juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.

Soma Luka 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 1:31-33