Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 9:48

Luka 9:48 SRUV

akawaambia, Yeyote atakayempokea mtoto huyu kwa jina langu anipokea mimi; na yeyote atakayenipokea mimi ampokea yeye aliyenituma. Kwa kuwa aliye mdogo miongoni mwenu nyote huyo ndiye mkubwa.

Soma Luka 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 9:48