Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:44

Mathayo 13:44 SRUV

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba; ambayo mtu alipoiona, aliificha; na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.

Soma Mathayo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 13:44