Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 6:25-26

Mathayo 6:25-26 SRUV

Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi? Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kuliko hao?

Soma Mathayo 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 6:25-26