Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 10:27

Marko 10:27 SRUV

Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.

Soma Marko 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 10:27