Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 16:4-5

Marko 16:4-5 SRUV

Hata walipotazama, waliona ya kuwa lile jiwe limekwisha kuvingirishwa; nalo lilikuwa kubwa mno. Wakaingia kaburini wakaona kijana akiwa ameketi upande wa kulia, amevaa vazi jeupe; wakastaajabu.

Soma Marko 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 16:4-5